
Kuhusu HouseHelp App
-
Suluhisho la kidigitali kwa familia zinazotafuta wasaidizi na vijana wanaotafuta ajira za heshima.
-
Inasaidia kupata dada wa kazi kwa urahisi, haraka na kwa usalama.
-
Inatoa ajira zenye mikataba rasmi badala ya makubaliano ya maneno.
Jinsi ya Kujiunga
-
Bonyeza “Buy Now”.
-
Lipa TZS 10,000/= kupitia M-Pesa, Airtel Money au Mixx by YAS.
-
Malipo ni mtandaoni na unapata access mara moja.
Faida za App
-
Familia huona: majina, eneo, uzoefu, kiwango cha mshahara na mawasiliano ya wadada wa kazi.
-
Wasaidizi wanaweza kujisajili na kuchagua familia zinazotafuta msaada.
-
Mfumo wa matching hulinganisha familia na msaidizi sahihi.
-
Mkataba wa ajira unahakikisha uwazi wa majukumu, muda na malipo.
-
Sehemu ya ratings & reviews hujenga uaminifu na uwazi.
Kwa Nini Utumie
-
Kama Bolt, lakini kwa wasaidizi wa nyumbani.
-
Rahisi, salama, na inaheshimu pande zote.
-
Badala ya kuhangaika na madalali au majirani, unapata suluhisho moja la kisasa.
Pakua App leo, lipia TZS 10,000/= na anza safari ya kupata dada wa kazi au ajira yako ya ndoto.